DAY 2 | Palace Hotel, Arusha
The Strong Nations for Africa Programme
“Protecting our nation is more than just border security; it’s about nurturing and preserving the collective story that defines us—our history, values, and hopes for the future.”
— Mr. Kenneth Sim, Senior Consultant, Chandler Institute of Governance (CIG)
TPSC MWENYEJI WA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI WA AFRIKA.
Taasisi ya Uongozi ya Chandler kutoka Singapore (CIG), kushirikiana na Chama cha Utawala wa Umma na Uongozi Barani Afrika ( AAPAM) chini ya mwenyeji Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), unaendesha Programu ya Mafunzo ya Uongozi kwa viongozi wa sekta ya umma barani Afrika.
Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, ikitoa Burudani katika Kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma, Juni 2025.
DKT. ERNEST MABONESHO KATIKA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Mkuu wa Chuo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Ernest leo tarehe 22 Juni 2025 ametembelea Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika kwenye viwanja vya Chinangali Park.
Kalenda ya Mafunzo ya Muda Mfupi kwa Mwezi Mei
2025.
📞Tafadhali wasiliana nasi kwa
namba zilizotolewa kwenye
kozi husika.
Kalenda ya Mafunzo
inapatikana kwenye tovuti
ya Chuo:
🌐www.tpsc https://t.co/GXV0tkIRJc
Kalenda ya Mafunzo ya Muda Mfupi kwa Mwezi April, 2025.
Kwa Mahitaji ya Mafunzo na kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu zilizotolewa kwa kila kozi.