Kiasi unachoweka akiba si muhimu sana mwanzoni.
Kilicho muhimu ni kujenga tabia ya kuweka akiba mara kwa mara.
Tabia ikikomaa, kiasi kitaongezeka.
MAMBO 6 YANAYOKUFANYA USHINDWE KUWEKA AKIBA.
Thread 🧵.
1. Jifunze ku-align kwenye kusudi lako
2. Jifunze kuheshimu mchakato wako
3. Jua kuji-position na watu sahihi
4. Jenga network ya ki-mkakati
5. Rise your internal standards
Angalia maisha yako yanavyobadilika.