Hii kwa wafanyabiashara
Container linalokwenda nje linalipa ushuru kidgo
Linaloishia Tz ushuru mkubwa
Bado mfanyabiashara anaongezewa charges nyingi
Analipa kodi dukani
Analipa tozo kama zote
Analipa ushuru wa hapa na pale kama taka, fire, leseni, service levy nk
Kwanini lakini?
Kabla ya uchaguzi mkuu wa Oct 29, 2025, kulikuwepo na tishio la kuwepo kwa maandamano katika siku hiyo ya uchaguzi
Vyombo vya dola na viongozi mbalimbali wakatoa matamko kupinga maandamano yale wakiwaaidi waandamanaji kukikwaa kisiki
Hivi sasa @SimbaSCTanzania wakiwa Buguruni kutokea JKNA kuelekea Karume, Kigogo, Jangwani kisha Msimbazi
Hiki ndicho kinachoendelea Msimbazi kariakoo muda huu