@swahilitimes Na nyie Mmevuruga Amani na kusababisha Vifo Kwa maslahi yenu na binafsi ....au ? Mnaongea baada ya kuapishwa ..Mbona you was so quiet kabla hujapewa huo uwaziri mkuu.
@MariaSTsehai Anaanzeje Julia wakati waliondamana.
a) Walioandamana sio Watanzania.
b)Amesema walilipwa pesa.
Mbona Kama hakuna umoja kuna disconnected kwenye government na hizi drama.
@TZMsemajiMkuu Sometimes namfananisha Msemaji wa Serikali Gerson na Mohammed Saeed al-Sahhaf Baghdad Bob" and "Comical Ali" for his contradictory public statements.
@BurtonKiha6501@AnanileaN Mungu huwaepusha waja wake ... And everything happens for a reason. You might not see on the spot always you will thanks God later. I believe that is what will be for him.
@MariaSTsehai Hivi hawa watu huwa hata wanafanya tafiti juu ya GenZ,kabla ya kuanza kufanya propaganda zao...wanahaibika vibaya.,.. Mshipa ya Shingo inawatoka kisa waonekane na huenda kapewa elf 50 na Abdul.
@swahilitimes Naomba niulize huo UTU mbona on 29/10/2025 Seems like uliwekwa pembeni.. Je tunatakiwa kuongelea this UTU na sio vitendo... Maana with this mnakiri kuwa the video tunazoziona sasa sio Al, Na Serikalini ilisahau swala la UTU ? Or walifungia UTU in the locker.s
@swahilitimes Mbona Serikali inatuchangany
a .. Nashindwa kuelewa which is which...
1. Wageni kutoka nje ndio walileta fujo.
2.Tumeshinda 98%. Bado mnataka maridhiano with who?
3.waliokufa .. wamekufa Kwa nini .? What happened? Nilijua was AI.
Ingieni flight Radar, air Tanzania Dreamliner ime take off from Dar 1 hour ago Alafu destination iko set to private.
Kuna mijitu inatoka nchi au inatorosha pesaโฆ.
Jeshi jeshi jeshi oneni watu wanatoroka.
There's no election in Tanzania, rather an uprising of citizens demanding electoral justice and good governance. Internet shutdown is a panic that won't help rescue Suluhu's madness!!