Katuga: Kwenye sheria majukumu ya hii mihimili mitatu ni nini? Tuanze na Bunge?
Mhe. Lissu: Kutunga Sheria
Katuga: sasa mbona ulitaka kusema mengine
Mhe. Lissu: Sikutaka uishi kwenye ujinga wa kudhani kazi ya Bunge pekee ni kutunga sheria ziko nyingi sana.๐๐
Katuga: Kwenye sheria majukumu ya hii mihimili mitatu ni nini? Tuanze na Bunge?
Mhe. Lissu: Kutunga Sheria
Katuga: sasa mbona ulitaka kusema mengine
Mhe. Lissu: Sikutaka uishi kwenye ujinga wa kudhani kazi ya Bunge pekee ni kutunga sheria ziko nyingi sana. ๐๐
Nassoro Katuga; kama nilikusikia vizuri ulisema utatuacha tuulize maswali, kwamba sisi ni ndugu zako?
Tundu Lissu; nafikiri nilisema hivyo
Nassoro Katuga; utakubali kwamba hiki ni kitu cha kisheria tunachoenda kufanya?
Tundu Lissu; ndiyo
Nassoro Katuga; mimi na wewe hatuna masuala binafsi zaidi ya kusaidia Mahakama
Tundu Lissu; mimi na wewe hatuna masuala binafsi
Nassoro Katuga; nimesikia unasema wewe ni mtaalamu wa sheria?
Lissu : ni kweli, mimi ni mtaalam wa sheria
Nassoro Katuga; sitokosea nikisema wewe ni mwanasheria mbobevu
Lissu: ni kweli, mimi ni mwanasheria mbobevu
Nassoro Katuga; Tanzania ilipata lini uhuru?
Tundu Lissu; 09.12.1961
Nassoro Katuga; nitakuwa sahihi nikisema Tanzania ni nchi huru?
Lissu: sahihi
Nassoro Katuga: Je, ni chombo gani cha mwisho kutoa maamuzi?
Lissu: Mahakama ya rufani ya Tanzania
Nassoro Katuga: tuseme tu, Mahakama
Tundu Lissu; Hapana, wewe umeuliza chombo cha mwisho.
Nassoro Katuga; Haya sawa.

Nassoro Katuga: shahidi, umesoma historia?
Tundu Lissu; Ndiyo
Nassoro Katuga; Ni kweli wakoloni waliwatumia viongozi wenye tamaa ya uongozi?
Tundu Lissu: Viongozi gani?
Nassoro Katuga; Je, wazungu waliingia Afrika kwa kutumia viongozi wenye tamaa.
Tundu Lissu; waliwatumia viongozi kupitia mikataba
Nassoro Katuga; kwa hiyo waarabu waliingia kama wakoloni kwa kutumia viongozi wenye tamaa?
Tundu Lissu; Waarabu hawakuwa wakoloni walikuja kama wafanyabiashara
Nassoro Katuga; kwa hiyo unakubali kwamba waliingia mikataba?
Lissu: Ndiyo. Walikuwa machifu. Waliingia mikataba kama wanavyoingia mikataba akina Samia leo. Hawakuingia mikataba na watu wa chini huku
Kuwa na "followers" haimaanishi wewe ni bora na una akili nyingi au una maudhui mazuri kuliko wengine... Heshimu watu inavyo stahili...
Jifunzeni kwa Kigogo na Ford Boy!