Katuga: Kwenye sheria majukumu ya hii mihimili mitatu ni nini? Tuanze na Bunge?
Mhe. Lissu: Kutunga Sheria
Katuga: sasa mbona ulitaka kusema mengine
Mhe. Lissu: Sikutaka uishi kwenye ujinga wa kudhani kazi ya Bunge pekee ni kutunga sheria ziko nyingi sana.๐๐
Katuga: Kwenye sheria majukumu ya hii mihimili mitatu ni nini? Tuanze na Bunge?
Mhe. Lissu: Kutunga Sheria
Katuga: sasa mbona ulitaka kusema mengine
Mhe. Lissu: Sikutaka uishi kwenye ujinga wa kudhani kazi ya Bunge pekee ni kutunga sheria ziko nyingi sana. ๐๐
Nassoro Katuga; kama nilikusikia vizuri ulisema utatuacha tuulize maswali, kwamba sisi ni ndugu zako?
Tundu Lissu; nafikiri nilisema hivyo
Nassoro Katuga; utakubali kwamba hiki ni kitu cha kisheria tunachoenda kufanya?
Tundu Lissu; ndiyo
Nassoro Katuga; mimi na wewe hatuna masuala binafsi zaidi ya kusaidia Mahakama
Tundu Lissu; mimi na wewe hatuna masuala binafsi
Nassoro Katuga; nimesikia unasema wewe ni mtaalamu wa sheria?
Lissu : ni kweli, mimi ni mtaalam wa sheria
Nassoro Katuga; sitokosea nikisema wewe ni mwanasheria mbobevu
Lissu: ni kweli, mimi ni mwanasheria mbobevu
Nassoro Katuga; Tanzania ilipata lini uhuru?
Tundu Lissu; 09.12.1961
Nassoro Katuga; nitakuwa sahihi nikisema Tanzania ni nchi huru?
Lissu: sahihi
Nassoro Katuga: Je, ni chombo gani cha mwisho kutoa maamuzi?
Lissu: Mahakama ya rufani ya Tanzania
Nassoro Katuga: tuseme tu, Mahakama
Tundu Lissu; Hapana, wewe umeuliza chombo cha mwisho.
Nassoro Katuga; Haya sawa.