@mpenda_TANZANIA@SuluhuSamia Uwe unasema ukweli.
Kilwa, karne 16 ilikuwa dola kubwa na yenye kuwa pesa yake. Uislamu ulishamiri na kuwa na misikiti mingi pale. Naomba tutajie shule moja waliyojenga hadi kufika karne 20.
@ayubu_madenge @daxMAGA Malizia kwa kusema ukweli wote kwamba kundi la mtandao likiongozwa na Kikwete na kuwa supported na Lowassa mwa 2005 walihakikisha wanamtoa kwa kumchafua na kumuhusisha na Hizbu. Hata kama unakula kwao sema ukweli. Sema ukweli namna gazeti la RAI lilivyotumika kumchafua S. A. S.
@EduTalkTz Hongera kwa kuchambua vema.
Cha ajabu yuko mtu anachukia kwanini kaandika haya na mwingine..anaponda wakati hajasoma hadi mwisho na kuiangalia kila data iliyowekwa.
Hongera Onesmo..
@MangiwaKwanza1 Najaribu kuwaza, mtanisaidia. Katika jamii za kiafrika watu wote huhesabiwa kuwa sawa wawapo msibani. Si vizuri kwenda na mamlaka yako kiofisi au elimu yako msibani..wote huwa tunakuwa level moja, maiti ndiyo mkuu kwa wote. Utaratibu wa kutembea na madaraka msibani umetokea wapi?
TOILET DISEASE???
Yeast infection (Candidiasis)
Did you know that sharing a toilet does NOT cause a yeast infection? 🤔
Here’s what actually causes yeast infections 👇
You’ll want to repost, share, and bookmark this thread.
🧵
@PaiasMusk@HildaNewton21@Sativa255 Hivi ina maana mama yako hakuwahi kukukanya kuwa kuacha matiti nje hivyo ni tabia za malaya au makahaba na kwamba kabila la baba yako na mama yako ni sawa na kutembea uchi?
@HildaNewton21 Dada Hilda, katika uandishi wa Nyaraka za Serikali, kuna kuandika madokezo. Madokezo haya yako ya aina tatu; Dokezo shabili (Minutes sheet), Dokezo la Kawaida na Dokezo Ambata.
Alichoulizwa Samwel Kwaya ni kuhusu Dokezo sabili.. ukisikia inavyotamkwa utadhani ni Dokezo sabini.
@FatumaCute Tukisifia tusikufuru
Tukipongeza tusisahau ukweli
Mvunaji asijione bora kuliko mpaliliaji na mpaliliaji asijivune juu ya mpandaji; zote ni kazi za mkulima