Kuna wimbi kubwa la
Madaktari kuacha kazi katika hospitali za umma na wengi wao wanaingia katika shughuli zingine za kiuchumi mtaani .
Hii inaweza kuwa red flag kwa serikali na nchi kwa ujumla ya kuwa na uhaba wa hawa wataalam hapo mbeleni .
REKEBISHENI MASILAHI.
MUNGU AKITAKA KUKUFUNDISHA KITU HAKUDAI ADA😊.
Uzi....
Mwaka 2016 nikiwa nimetoka mzigoni baada ya kuunganisha night mbili na day moja (hii ni ratiba ya kawaida kabisa kwa intern doctor hasa wale wenye njaa ya pesa😁. Unaingia night yako ukitoka jamaa anakulipa uingie ya kwake..