@HildaNewton21@HildaNewton21 Hili Ni kanisa sio chama cha Siasa, Sio Kikundi cha Wanaharakati, Usituletee Harakati kwenye mambo Ya kikanisa Tunakuheshimu Sana
@swahilitimes Ngoja Kwanza wamemkamata ili wamjengee sanamu au wamuadhibu? Kama Ni kumjengea sanamu Sawa kama Ni kumuadhibu wamuachilie huru upesi Hana kosa