HOTUBA YA RAIS DKT SAMIA AKISHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA SAMIA KALAMU AWARDS - Tuzo za Habari za Matokeo ChanyA+
https://t.co/8a8RM8iV48 via @YouTube
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo JakayaKikwete (JKCI) Eva Wakuganda akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography)
Mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki unaoendelea katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, umefikia asilimia 90 huku ukitarajiwa kukamilika Juni 2025.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Hayati Mhe. Cleopa David Msuya,