Tweet 1:
Habari #Tanzania! 🇹🇿 AI siyo habari ya mbeleni tena—iko hapa na inabadilisha biashara yako kuanzia Kariakoo hadi X , Instagram ,TikTok na WhatsApp. 🚀
Kama una duka la e-commerce, soma hii. 👇
Hizi hapa ni njia 5 muhimu ambazo AI inaweza kuinua biashara yako leo
👇
Isaya 54:17
“Hakuna silaha itakayofanywa juu yako itakayofanikiwa; na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao yatoka kwangu, asema Bwana.”
Wateja wangu wa korosho na smoothies kwanzia jtatu zitapatikana kama kawaida tunapatikana mwananyamala opposite na msisiri b primary school
Kwasasa tuna roasted cashews pekee
1kg 24,000
Smoothie 10,000
Tupigie 0745742108
Cc @salmakorosho
Jumapili ni siku ya Baraka.
Kwanini usichukua Uwapendao na mkafika @aeso_kitchen mkafurahi kwa pamoja mkiwa mnakula chakula kitamu
Piga sasa
0767607887