Tundu Antipas Lissu - jasiri wa Taifa
Asante kwa kujitolea 🙏🏽
Lovely song thanking God for Lissu’s leadership and unwavering commitment to Truth and Freedom
Siku Lissu akichoka mi nitasema hana deni kapambana - ila nitamwombea na kumpa moyo asichoke 🙏🏽 Mungu akusimamie katika kipindi hiki kigumu TAL
#FreeTunduLissu
Mmea mdogo wenye maajabu mengi katika tiba za jadi, wengi wnaaita "Mvunja homa" ni jina lililotokaana na uwezo wake wa kukomesha homa za kujirudiarudia kwa watoto wadogo.
Kuna ile hali mtoto anaugua hata ukimpeleka hospital wanakwambia hana tatizo lakini mtoto anaumwa na wakati wa usiku ana weweseka na kulialia, unamwenyesha kila aina ya dawa lakini bado hapati unafuu.
Ikiwa mtoto wako anapata changamoto hiyo, chukua majani ya mmea huu pondaponda na uloweke kwenye maji—tumia kumwogesha mtoto wako asubuhi na jioni kwa muda wa siku 5 hadi 7.
Inasemekana pia mmea huu ni mzuri sana kwa kufukuza mapepo, unaweza kuuchoma ndani ya nyumba yako — mapepo yote yatakimbia, lakini pia ni mmea wenye kuleta mvuto wa kibiashara na kimapenzi.
Madharau Asili
Hufa kikatili 🙁
LEAKED: the trophy already has a new owner. 📄🏆
FIFA filed the transfer paperwork YESTERDAY.
New owner: ARGENTINA. Final score, pre-confirmed: 2–1 Spain.
Signed. Stamped. Done before kickoff. 🤫
Hakikisha unaupanda huu mmea nyumbani kwako uta-save pesa nyingi sana za matibabu
✔️Huu mmea unatibu bawasiri aina zote
✔️Unatibu vidonda vya tumbo
✔️Unatibu tatizo la Acid reflux
✔️Unatibu Nguvu za kiume
✔️Unatibu magonjwa yote ya ngozi, allergy sugu, pumu ya ngozi, mba, mapunye, n.k
✔️Unatibu PID na UTI
✔️Unatibu magonjwa ya zinaa
✔️Unatibu Malaria kali
Mdharau Asili
Hufa kikatili🫵