@GJkimario@mangekimambi@jmkikwete Hao vijana wapewe siraha ba nani, fursa nchi hii ni za kutosha. Acheni umasikini wa mawazo, Jikite kupambana, wanaume hawafaulu kwa njia rajisi, hawatoki kwa lawama na hawarahisishiwi kufikia lengo, husifiwa kwa kupita katika moto na kuenziwa kwa kuacha alama ktkt ya magumu.
@ShauriSiyantemi@mangekimambi@ChangeTanzania@jmkikwete Uzuri, hata Yesu, anaitwa mfalme wa Amani na sio wa Haki maana haki ni takwa la ndani la kila mtu, na haki inaweza kuwa kwako na mwingine ikawa sio haki. Mungu hajibu maombi ya kipumbavu
@NamayanoBahili @mangekimambi@jmkikwete Kilifanya mapinguzi Zanzibar, mapinduzi ya siasa za Afrika kwa kukomboa baadhi ya mataifa na kusaidia harakati za uhuru Afrika, hayo ni mapinduzi.
@NamayanoBahili @mangekimambi@jmkikwete Who are you, Kama umoja waulaya wamerudi kumkubali, wale mliowategemea kumu impeach, wewe ni kama taka moto huwezi fanyiwa mzunguko
@Jovin_festo @mangekimambi@jmkikwete Kwahiyo unavyoona vyombo vya usalama wao wametulia, chini ya kiwango cha hao wanavyopanga. Halafu mbona wanapanga hadharani na mnasisitiza kuwa watu wadhani kuwa kuna siri!!
@godbless_lema Lema, acha unafiki, ni nyinyi mliwa encourage vijana wakafanye uasi kuharibu nchi na kuua askari, kukata wapigakura na kuwakata vidole.
Nidhambi kutumia vijana kwa hadaha, kisha mtumie stori zao kama agenda za kisiasa.
@HildaNewton21 Hao si walikuwa Askari wenu mliowatuma kupindua nchi, mliwqmbia wakachome vituo vya polisi, halafu wawe wanakumbilia kujificha majumbani. Sasa wameshindwa vita imekuwa nongwa