@og_outfits Sasa mwanamke aliaanza kukuburuza hata kabla hujafunga ndoa,na hali hiyo ulikubaliana nayo sasa,unataka ushauri wa nini cha msingi endelea kuvumilia tu akupelekeshe mpaka atakapochoka.
@mhabukat@TitoMagoti Daaaa!!! Ni ukweli,haki na uwajibikaji utalejesha taifa letu katika umoja na mshikamano,eee, Mungu tusaidie kufikia maridhiano hayo.