Kuna mkutano wa Wasababto unafanyika Njombe apo nimeona wamefunga projector sehemu nyingi sana hapa Dar es salaam.
Na kiongozi wao anasema mkutano wao unaonekana Tanzania nzima pamoja na nchi za jirani.
Dar nimeona sehem tatu wanafunga projector ikifika jioni wanaangalia
Sabato ya leo ninasali kanisa langu la Nyumbani.🥰
Hiki kibao nimekipenda kinatuhamasisha kuwahi shule ya Sabato.😊
📍Kichangani SDA Morogoro
~Nimebatiziwa hapa😊
Nimekuja kutua mizigo yangu yote niliyoibebelea Dodoma😁
Muwe na Sabato njema watu wa Mungu🙏
Leo nimefurahi sana, Kuna dogo mmoja alikuja kufanya kazi kwa contractor kama kibarua , kubeba zege, kusaidia fundi kujenga culverts ..
Nlipiga nae stori na nkaona ana kitu flani, na elimu yake ilikuwa ya form 4 ila hakuwa na matokeo mazuri Necta.
Nlimfundisha Road survey A-Z practical na alikuwa vizuri , kuanzia kuchukua data mpaka kucalculate levels.
Leo hii kanipigia simu kapata kazi kwa mchina kama assistant surveyor na dau walofikia ni 700,000/= per month.
Nmempa somo kubwa sana la Saving,
I hope atatoboa tu .
#Kataaaumasikini
TODAY | 🇱🇾 | The funeral of Saif al-Islam Gaddafi, the son of the late Libyan Leader Muammar Gaddafi who was killed by the US/NATO in 2011. Saif al-Islam was murdered this week at his residence by 4 gun-men. He was running to be the next President of Libya.
His brother was released from prison just a few weeks ago after spending 10 years in jail, in Lebanon with no charges nor conviction. He was only asked to pay the bail and leave the country. Note: He was never convicted.
Three of Muammar Gaddafi's sons were killed alongside him in 2011. The Gaddafi family has suffered. His other children have been living in hiding for years.
Kuna kipind flan nilikua napitia msongo wa mawazo so mwanangu aliekua anajua kunisaidia akaniadd kwenye yale magrup ya manifestation na meditation,nkakuta wanajadili "mimea" wanashawishiana kuvuta bangi et inasaidia kurelief nkaona hawa wamechanganyikiwa kuliko mimi 😂😂😂
Wazekwa alipopatikana, mwaka huohuo (1994) akafanya yake kwenye album ya Papa wemba ya FORIDOLES.
Kama haitoshi, mwaka uliofuata (1995), Wazekwa akapiga 'tena tikitaka na taulo' kwenye album ya Papa Wemba ya POLE POSITION
Wazekwa akawa naye kanunua bifu na Koffi Olomide