Tarehe 22 Juni Kamati Ndogo ya Haki za Kibinadamu, kwa kushirikiana na Ujumbe wa Bunge la Afrika-EU, ilichunguza hali ya haki za binadamu nchini #Tanzania.
Majadiliano yalihusisha jopo ikiwa ni pamoja na watetezi wa haki za binadamu pamoja na wawakilishi kutoka Tume na EEAS.
Ilikuwa ni pamoja na Agnes Polepole Lendov dada wa balozi wa zamani wa Cuba Humphrey Polepole ambaye alitekwa mwezi Oktoba na kutoonekana tangu wakati huo. Pia Alice Magabe mke wa Tundu Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania na amekuwa akisota gerezani akisubiri kesi ya tuhuma za uongo za uhaini.
https://t.co/pHznM8Q8Qj
@chapanombombwi@DouglasMboya3 Sasa Tume ya Chande ndo ingeanza na hawa. Kama kweli Police wanaona haya na hawajawachukulia hatua yoyote. Hapa ndo unafahamu kuwa Police wenyewe ni genge la wahuni.
#HABARI Rais wa Kenya William Ruto ametoa wito wa kuanzishwa kwa Mahakama ya Haki ya Afrika, akisema hatua hiyo itasaidia kutatua kesi za Waafrika kwa kutumia mifumo ya ndani ya bara hilo.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa Mahakama Kuu Afrika kuhusu Usuluhishi wa Migogoro unaofanyika Nairobi, Rais Ruto amewataka viongozi wa Afrika kupunguza utegemezi kwa mifumo ya kisheria ya nje na badala yake kuimarisha taasisi za ndani na za kikanda.
Ruto amesisitiza kuwa mfumo wa haki unaowahudumia wananchi lazima uwe rahisi, unaoeleweka na wenye uwezo wa kutoa suluhisho la haraka kwa migogoro.
Amesema kuchelewesha haki kupitia urasimu na taratibu tata kunadhoofisha imani ya wananchi katika mahakama.
“Hatuna Mahakama ya Haki inayofanya kazi ya Afrika. Ningependa kuwashawishi majaji wakuu wa bara letu kila mmoja aandikie barua waziri wake wa mambo ya ndani na ikiwezekana hata Rais, ili tuwe na Mahakama ya Haki ya Afrika,” amesema Ruto. #EastAfricaTV
Questions about the 2025 election.
Questions about the deaths.
Questions about human rights.
Questions about disappearances.
Questions about political freedom.
And they want answers.
The problem is not that the world has begun talking about Tanzania.
The problem is that the world has begun documenting Tanzania.
There is a profound difference between conversations and records.
Conversations end.
Records remain.
Governments change.
Parliaments change.
Presidents change.
But files remain.
That is why the €156 million is not the biggest story. That is why S.4577 is not the biggest story.
The bigger story is that, for the first time since the 2025 election crisis, major Western institutions are beginning to build parallel official records about Tanzania.
And those records may shape Tanzania’s relationship with the world long after the officials involved today have left the stage.
The warning was delivered long ago.
Now the record is being written.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
@MariaSTsehai@HildaNewton21 Maana njia tunayoelekea. Matatizo yatamgusa kila mtanzania pamoja na polisi nyinyi wote. Na hii itagusa vizazi hadi vizazi. Swali ni je? Wewe polisi unamchango gani katika taifa? kipindi hiki ambapo kunamtihani mkubwa ktk taifa na wewe umekuwa mmoja wa kufubaisha taifa. Jitafakar
@MariaSTsehai@HildaNewton21 Polisi mnaona haki inaminywa, Watu wanabambikiziwa kesi. Na nyie ndo mstari wa mbele kuwatetea viongozi wa hovyo wasiolitakia mema taifa letu. Polisi unayo nafasi kubwa ya kutafakari. Kuwa kweli unataka familia yako na ndugu zako waje kuishi maisha ya mateso?
@Liberatus80@MariaSTsehai Halafu kiumbe alievumbua simu na Internet. Anawahalibia sana hawa mayahudi weusi. Maana ukweli upo kiganjani. Halafu mtu mzima na lisauti lake kama debe linaburuzwa kwenye kokoto, anadiliki kisimama mbele ya umma na kupindisha yaliyojili huko marekani na Bunge la Ulaya.
@Liberatus80@MariaSTsehai Labda hajui kiingereza. Ila kina Chatgbt anaweza kukopi na kupaste. Nahilo ni gumu? Lets keep fighting for our Tanzanians. Siku zote mtu mwongo huteleza. Ni jinsi kadri muda unavyokwenda. Wanazidi kupoteza wanachama wao. Hii sio karne ya zama za mawe. Tanzanians are way smarter.
@terencecrawford@ErrolSpenceJr Don’t entertaining any negative noises. You both did what you was supposed to do. Signed the contract and got it on. It is very entertaining fight. Unfortunately 1 had to take a L. At the end of tge day. I enjoyed the fight. You both made a big bag of Cash. No regrets champs.
European Parliament just rejected @EU_Commission's proposal to resume funding to #Tanzania - because authorities failed to ensure accountability for electoral violence that killed 100s protesters & because opposition leaders remain in detention 👇
https://t.co/aWA8Z7tztn…
Kuendelea kumshikilia Lissu kwa kesi mchongo na ya kijinga, uporaji wa uchaguzi na mauaji ya raia mwaka 2025 kutamtokea Samia na genge lake puani!
Sehemu ya mswada juu ya Tanzania kule Marekani unasomeka hivi:
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇