@citizentvkenya Naunga mkono Riggy G aende home kwa kuwa ameonyosha ishara fika kwamba ameshindwa kuunganisha wananchi kwa Pamoja kwa misingi ya umoja, upendo na Amani. Milima Kenya si spesheli, tunataka Mtu anayezurura nchini kote kuendeleza ujenzi wa taifa si Milima.
@afc_RISS Nimejifeel position ya Jesus Christ during his temptation. For sure He had a difficult choice to choose on worshipping the devil and be given the earthly riches and to as to whether to continue with God's work of Salvation!
@HonOscarSudi Na hii English ni yako ama ni chat GPt? ( AI) Ama nisiulize na kuleta story mob kuhusu the origin ya hii kizungu.
Uko sure ukipewa mic, you utter / pronounce those words and terms fluently and without referring to any sources?
@KenyaPower@KenyaPower_Care Why then do we experience such huge consumptions? I am a victim and can dually testify about this. In two weeks I am using a token of ksh 1,500 with just TV and lighting bulbs which are also energy saving bulbs. You need to check on the error accruing to this matter. It's a fact.