The removal of Edwin Sifuna might be a classic political paradox. ODM may have underestimated the optics. In attempting to contain his influence, ODM may have inadvertently expanded it; time will tell.
Wacheni niwaambie watu wa matatu wamekataa hadi basi za shule zibebe watoto na kuna jamaa wa boda hapa wamesalimia anataka kubeba anaulizwa kwani yake inatumia mafuta taa
#RejectFuelPrices
Economy is doing wonderfully. Rutonomics. Increase by 40 bob, people make noise. Reduce by 10 bob, announce subsidy for a few months. Increase again by 16 bob with a subsidy in place. We deserve all that is happening to us
Lakini Abuya lazima azalishe kila mwaka juu hio Ni rough game, kwani haonei Bibi yake huruma? Hio kijana inafaa ichunguzwe, ama ni idleness ya kuendesha macab?