@earadiofm@Wakanda_republi Uyu choko East Africa tutaacha Sasa kuwaskiliza kisa wachambuzi matope kama Hawa .🚮 Jamaa halijuagi mpira halinaga fact siku zote kama li Hans Rafael tu 😅
@Ujuguhapa Hamnaga mtu hapo ni matope kichwan 😂..uyu ni gundu hajui ata mpira Ivi hakuona game ya bayan na inter ..anapajua Milano hajiulizi kwann inter amesusia ligi kila mtu anamfunga ndo baca amfenge..hapo hamna kitu 😂🚮
@ibrahimmakasi@KingPablotz@Hunterjay12345 Ni maneno ya Allah ambapo Muhammad (saw) aliteremshiwa kidogo kidogo kwa muda wa miaka 23 .Hivyo basi dhahiri ni kitabu cha Allah. Na istoshe Kuna hadithi maneno ya mtume(saw) na Quran kutoka kwa Allah (sw)
@Dominicksalamb1 Linganisha ije rectangle na mstari wakati uo wenye duara ndo uchore mstari wako ..useme kama ni ofsde ..kumbe mpira hujui ndo maan Azam walikutimua😂😂😂🤣
@Dominicksalamb1 Acha ungese hujui. Mpira ndo maana Azam walikutimua ..Arajiga kaupiga mwingi sana au unadhan huyo ni kayoko ..Ukiona mtu kaitwa CAF basi umuheshimu sana ..
@SimbaSCTanzania Bora muache kutupostia ujinga...jezi zikowapi sasa..tunazoweka oda...acheni ujinga ...mbona hamko smart.....uyo sanda na vunja bei tofauti iko wapi...au ni mtu na kaka yake