Chief Executive Officer of Mtanashati Ent. [email protected] for more information Check me on Instagram ostazjuma facebook Ostaz Juma Tiktok ostazjuma.
kuna Tv online imefunguliwa inaitwa #OSTAZJUMATV nenda kasubscribe sasahivi bonyeza alama ya kengele utaona mambo mapya ya kupendeza ambayo Tv zingine hazina.
إذا كنت تحب إيران 🇮🇷 تابعني الآن على جميع حساباتي الرسمية:
X: @ostazjuma
Instagram: @ostazjuma
YouTube: OstazJumaTv
TikTok: @ostazjuma | @ostazjumatv
Facebook: Ostaz Juma Namusoma | Ostaz Juma Tv
تابع وكن جزءاً من الرحلة.
Writing
If you love Iran 🇮🇷 follow me now on all my official accounts:
X: @ostazjuma
Instagram: @ostazjuma
YouTube: OstazJumaTv
TikTok: @ostazjuma | @ostazjumatv
Facebook: Ostaz Juma Namusoma | Ostaz Juma Tv
Follow and be part of the journey.
Huyu ambaye alikuwa haswali, kisha ulipofika mwezi wa Ramadhani akajitolea kuswali kwa bidii…
Huyo si mnafiki, bali ni mwenye kutubu ambaye Mwenyezi Mungu ameihuisha tena moyo wake katika mwezi Anaoupenda zaidi.
Basi usimsaidie shetani dhidi ya ndugu yako.
Mabel ni moja ya wanawake ambao Ostaz Juma Namusoma alimpenda sana, na mpaka leo bado anampenda.
Mabel ni mwanamke ambaye alikuwa ndoto ya Ostaz Juma. Kila anapokutana naye, Ostaz Juma anapata furaha kubwa kwa kumuona mwanamke huyo, mwanamke mwenye thamani kubwa kwake.
Ukweli utabaki vilevile: Rajabu amezaliwa mwaka 1991, na mimi nimezaliwa mwaka 1993.
Sasa mbona mnatoa mapovu kama kwamba mmezaliwa nyinyi?
Niacheni na miaka yangu, msije mkaipunguza bure.
Harmonize alizaliwa 15 Machi 1991
Ostaz Juma alizaliwa 19 Januari 1993
👉🏿Utofauti wetu ni miaka 2
Mahali pa kuzaliwa:
Harmonize — Mtwara
Ostaz Juma — Mwanza
#ostazjuma#OstazJumaTv#ostazjumanamusoma