Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Sheikh Maalim Ali Basaleh, mwanazuoni na mwalimu katika imani. Natoa pole kwa waumini wa dini ya Kiislamu, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
@ITVTANZANIA Wa chuo cha uhasibu Dar es salaam, ndio wawajibishwe vikali tena wavuliwe kwanza nyadhifa zao, pili wachukuliwe hatua kali za kisheria kwa kuwa wamekosa sifa za kuwa viongozi bora kwa kuangalia maslahi yao bunafsi kuliko maslahi mapana ya umma.
@ITVTANZANIA Wa chuo cha uhasibu Dar es salaam, ndio ili bidi wapokonywe mifugo hiyo ili iwe onyo na fundisho kwao pia kwa wale ambao wenye tabia kama hizo, lkn kuwarudishia inatoa mwanya kwa wengine kuendelea kufuga ndan ya hifadhi wakijua kwamba wakikamatwa watarudishiwa mifugo yao.
@ITVTANZANIA Wa kinondoni Dar es salaam, hapana kusitisha tu leseni sio suluhisho, shuluhisho ni pamoja na kuwakamata wanaokiuka biashara hii na kuwachukulia hatua kali za kisheria ili kuwa funzo kwa wengine wenye tabia hii au waliokuwa wanafikiria kufanya hivyoo
@ITVTANZANIA Wa chuo cha uhasibu Dar es salaam hapana sio matokeo ya kuwashirikisha wananchi bali ni matokeo ya kudhibiti rushwa kwa wahusika ndio maana kumekuwa na matokeo mazur
Happy born day my president mtetezi wa wanyonge mwenyez mungu akupe miaka mingi na heri duniani ili uendelee kuijenga nchi yetu kwa kipindi chote cha utawala wako
@ITVTANZANIA Wa chuo cha uhasibu Dar es salaam, hapana kwan unapomkamata dereva na kumtoza fine atalipa na atakapo rudi kazini bado ataendelea na uzembe uleule, hivyo basi kinachotakiwa hapa wakamatwe waachishwe kazi na kuchukuliwa hatua kali za kisheria