Zaidi ya watia nia 100,000 wamenyimwa haki ya kugombea. Kwa hali hii huu ni uchaguzi wa kweli au uchafuzi?
#NoReformsNoElection πͺπ½
#BilaMabadiliko hakuna uchaguzi
2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo. Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba Niende kokote ninakotaka.
Nikaenda Mahakamani walipopokea Petition yangu na kuona nimeomba scrutiny ya kura zilizopigwa Mkurugenzi wa Halamashauri( Hapa soma Returning Officer aliye apishwa ) tuliambiwa kiapo kinawafanya watakatifu.
Akaagiza wafanyakazi...wakafungua masanduku ya Kura wakaanza kuchoma kura zangu na kupiga kura upya. Nikakimbilia Tune ya Taifa ya uchaguzi.Wakasema kwakuwa niko Mahakamani hawawezi kuingilia...Mahakama Ikaniambia hatufanyi chochote mpaka udeposit Milioni 12 taslimu.
Ndugu yangu ,Hauwezi kulinda kura kwa Rungu na Majabali kura zinalindwa kwa Sheria na Kanuni zinazo hakikisha uwazi wa Zoezi Zima.
YEYOTE ANAYEKWAMBIA UTALINDA KURA NI TAPELI.
JULIANI-UTAWALA (OFFICIAL VIDEO) π₯
Sitasimama maovu yakitawala βπ½
Wimbo wa Afrika Mashariki @JulianiKenya
Sikiliza usiku huu kabla hujalala
https://t.co/JIJCWyQY6r