TAFUTA AINA YA MSICHANA MWENYE SIFA NA TABIA HIZI. USIM-MIS PROFILE MWENZI WAKO
1. Msichana ambaye hana aibu kuwaonyesha wengine jinsi anavyokupenda.
Huyu ndiye wa kweli, anayeonyesha upendo wake kwa vitendo, hadharani na faraghani bila woga.
2. Msichana anayekaa mbali lakini bado hawazi kukusaliti.
Uaminifu wake hauangalii umbali. Anaushinda ushawishi wa nje na kubaki mwaminifu kwako.
3. Msichana anayekuona sio tu kama mpenzi, bali pia kama mume.
Anakuheshimu, anafikiria mbali, na anakuweka kwenye mipango yake ya baadaye.
4. Msichana anayekutendea kama Mfalme.
Heshima yake, upendo wake, na namna anavyokuheshimu vinakufanya ujihisi wa thamani.
5. Msichana anayekuomba ruhusa kabla ya kufanya jambo fulani.
Sio udhaifu, ni heshima. Ni kuthamini maamuzi yako na kulinda maelewano katika uhusiano wenu.
Kwa aliyepewa akili, busara inatarajiwa.
Mungu akubariki na akuongoze katika uhusiano ulio sahihi.
Follow @othuman_fact kwa mafundisho zaidi.
📷 WhatsApp Inbox: 0747 835 124
WhatsApp Channel link iko #commentsection.
#othumanfact #othumanissa #LoveTakesTime
#lovetake
Moja ya katika dalili za ujinga, ni ukimuona mtu anapinga kabla ya kuuliza huyo ni mjinga. Ukiona mtu anahukumu kabla ya kujua na kusikiliza huyo ni mjinga. Na ukiona mtu anajibu kabla ya kusikia na kuulizwa huyo ni mjinga.
Ujinga sio tusi, ujinga ni Sifa flan flan hivi🙄.
Kama huyo Mwanaume/Mwanamke wako angekuwa na nafasi moja tu ya kumchagua mtu wa kumpa muda wake. JE, Angekuwa wewe kweli?
Kama jibu linakupa maumivu, basi tayari unaujua ukweli.
... Na ukweli hauhitaji tafsiri nyingi Ili uhuelewe. @othuman_fact
Kama utakuwa na attention kuubwa alafu ukakosa commitment, ukawepo kwenye mahusiano lakini ukawa sio muwajibikaji, ukawa na mapenzi lakini ukawa uwezi kujitoa kwa ajili ya mahusiano yako, utakuwa na uwezekano mdogo sana wa kuziteka na kuendelea kuzibakiza hisia zake kwako.
Ni ukweli ambao hutaki kuusikia, ... Mapenzi yanahitaji uwazi, sio mchezo.
Mtu hawezi kupigania kitu asichokielewa.
Hawezi kukulinda kama hajui nafasi yake kwenye maisha yako. muoneshe nafasi yake kwanza ili aweze kuipigania.
follow @othuman_fact#OthumanIssa#OthumanFact
Ebu ngoja kwanza, Kuna badget iliyengwa Kwa ajili ya report hii, na posho za kuudhulia zikatolewa, ama watu wametumia pesa zao mfukoni. Au Kuna report nyingine tofauti na hii tuisubiri, Anyways simba anacheza Saa ngapi??
Bro, Dini haikukataza kuwa na lugha nzuri ya mapenzi.
Mtume Muhammad (SAW) alikuwa mcha Mungu kuliko wote, lakini alikuwa mpole, na mwenye maneno mazuri alionyesha mapenzi kwa wake zake.
Alikuwa anataniana, anajali hisia zao.
Ukiwa mgumu sana, unamjengea hofu. unapoteza mvuto.
Katika maswala yote yahusuyo saikolojia, hitaji la kwanza la mtu anayekuja kwako ni kusikilizwa.
Uwezi kushauri kama hujasikiliza ama uelewi unapaswa kushauri juu ya Nini.
Principle - kusikiliza dk 45 kuongea/kushauri dk 15 😁👋
Sikiliza kwanza kinachoutatiza moyo wake, tatua.
Emotional responsibility (Uwajibikaji wa kihisia)
Hii ndiyo ngazi ya juu kabisa. Acha kutegemea mwenzi wako awe chanzo cha furaha yako kila siku.
Acha kumlaumu kwa maumivu yote uliyonayo.
Mtu asiye na akili ya hisia hutumia mahusiano kama sehemu ya kuficha majeraha yake.