@Nyaliox@Thereal_taivina ππππ hii imenibamba sana. Wazazi wetu bhana.... ilikuwa inafika hatu unajiuliza huyu ni mzazi wangu kweli au nimejichanganya
@Eric__Bernard Sinza. Wanawazisha sana na biashara zao. Unakuta duka Lina kadet hazifiki hata 20 na t-shirt kama 15 hivi halafu kawekwa mdada hapo... Fremu laki mbili Kwa mwezi
@moneyacademyKE In East Africa especially Uganda and Tanzania...it's not the vote that count, it is who announce the results. That's why they switch off the internet. Democracy is in Kenya