@TweveDevota Uko sahih kwamtazamo wako kua nipengo lkn usisahau ulipoondoka wew kazin wakat unatangaza taasisi ilifungwa siiliendelea ata CDM iko ivo ivo watafanya kazi wengne na gurudum litaenda
Hakika hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA na sijui kama yupo mtu kariba ya Nkuna anayeweza kuziba pengo lake katika siasa zetu.
Binafsi nimehuzunika na kulia sanaπ₯Ή
Enzi za Pilato zikikua ngumu sana kwa bwana wa Jalalaniππ, ila hao watu anaowangelea bwana wa Jalalani Tanganyika hakuna bana na hawatokueko mpaka Duniani itafika tamani
Watanganyika wape mbinu za kutafuta ugali wao hapo mtaenda sambamba, mambo mengi hata habari hawana