Ujumbe wa Tanzania katika Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ukiongozwa na Naibu Waziri @mfa_tanzania Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Baraza hilo jijini Luanda, Angola tarehe 11 Machi, 2024.