@1960Remija Portugal kushindwa kuongoza kundi ni kosa la Argentina? Colombia kutolewa na Switzerland ni kosa la Argentina? Kapigwa England mbona sababu kubwa ilikua tuchel na sio Argentina. Uhalisia ni kwamba Argentina hakua na quality ndio lakini walikua na maturity na mentality ya kibingwa
@MfalmewaX1 Ulikua sahihi sana ulivoelezea pale Instagram kuhusu Ronaldo kukua inspirational na nilikubaliana na wewe. Ila hizi story za kwamba sijui sponsor sijui FIFA hizo ni point za kipuuzi sana kwasababu mpira ni mchezo wa wazi sana na sheria za mpira ziko wazi sana
@k_mjege Hata Tanzania wapo wanaosoma lakini inaweza kua 7% ya vijana wote(hapa namaanisha wanasoma na kumaster hio skill) kutokana na ukweli kwamba vijana wanakumbana na changamoto nying zinawafanya wakose mda na utulivu wa akili ili wasome na kujifunza hayo maarifa.