@ufntc We had a refinery back in the 60's , ilikuwa inaitwa TIPER.... (Moto ulikuwa unawaka juu na ulikuwa unaonekana almost DAR nzima)
Kuwa nayo nyingine ni kitu kizuri zaidi
🇷🇺🇹🇿 Ni maeneo gani ya ushirikiano kati ya Urusi na Tanzania ambayo yanakua kwa kasi zaidi?
Kuanzia mradi wa urani wa Rosatom hadi uzalishaji wa umeme wa nyuklia na uwekezaji katika kilimo - Balozi wa Urusi, Andrey Avetisyan ameelezea Sputnik Afrika kuhusu miradi inayotekelezwa na mipango ya baadaye 👇
💧 Tanzania inatafuta teknolojia mpya za kupunguza upotevu wa maji ili kuboresha upatikanaji wa huduma hiyo kadri idadi ya watu inavyoongezeka.
🇹🇿🇿🇦 Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso yuko Afrika Kusini kujifunza teknolojia za kisasa.
Kwa tuhuma hizi ni vigumu sana kumtetea @HecheJohn , Kamati kuu imechafukwa sana wanahasira haijapata kutokea. Fikiria kati ya wajumbe 30+ ni wajumbe wawili tu Golungwa na Galundi ndio walikuwa upande wa Heche wengine wote wamemsagia kunguni hadi nduguzake akina Ngoto😂😂😂
@royalmediatz Member, Board of Trustees – The National Social Security Fund, from 1st September 2006. Re-appointed 22 February 2010 until 21st February 2013. Chaired the Board’s Audit Committee.