Africans don't need, COVID-19 vaccination says @drmialano1 moral Authority of ANAPADE political party, if G.S @antonioguterres need to send that vaccine in Africa, firstly he start in U.k, Spain, France, Chine, U.S.A and Italy, Africans must respect the mesure of prévention.
Mweshimiwa @drmialano1 amujibu katibu wa Umoja wa mataifa @antonioguterres kutuma chanjo Africa ni mauwaji tena ni usaliti wa haki za binadamu, wakitaka kufanya chanjo wahanze Italy, USA, Spain na U.K hayo njo mataifa yanayo ugonjwa wa COVID-19 kwa wingi @_AfricanUnion@MONUSCO
@drmialano1 kiongozi wa chama ANAPADE amewaonya viongozi au wa daktari ambao wanataka kufanya biashara na wanaichi wa DRCONGO kupitiya chanjo ya Virus COVID-19, ole kwao wakisubutu kufanya hivyo wakimbiye inchini DRC Kwakuwa ni wauwaji @Presidence_RDC @AssembleeN @FARDC_
Amani ni jukumu la kila mwanaichi kusimama na kusaidiya @FARDC_ kutowa habari kwa serekali asemavyo mweshimiwa @drmialano1 bila mawasiliano kati ya Jeshi na raia Amani aiwezi patikana ki raisi sana hivyo. Sote kwa pamoja TWAWEZA.
Kiongozi Mweshimiwa @drmialano1 ametangaza kupambana na viongozi ambao wanaweka ubaguzi wa jinsiya kwa office za Uma, mweshimiwa Dr Mialano Tangania amesema wanawake na wadada wanahaki ya kupata ajira kwaku jiendeleza katika jamii, kwanini wakina mama wanabagumiwa kwa office ?
Ni wakati wa kuandaa Uchaguzi wa mwaka 2023 mweshimiwa @drmialano1 awahimiza wanaichi kuwa macho na kusimama himara kwakutetea souveraineté nationale yetu.
Mweshimiwa @drmialano1 ametowa rambirambi zake kwa Wakenya wote piya kwa Familiya ya aliyekuwa Rais wa pili wa Kenya Mzee Daniel Arp Moi, kwa kumpoteza mtu mashuhuri Mzee Moi, Mungu ailaze mahali pema peponi, tulimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi @UKeynatta
Mweshimiwa @drmialano1 amesisitiza kujulisha @Presidence_RDC@CoalitionCach@fatshi13 kulinda mipaka na uwanja wa ndege zidi ya Virus ya Corona ambavyo vinatambaa kwasasa Afrika, ni wajibu wa serekali kulinda wanaichi kwakila janga.
Mweshimiwa @drmialano1 amejulisha serekali ya mweshimiwa Rais @ntumbagrace4@Presidence_RDC na wizara ya Afya (Min.Sante) kuwa makini na Virus ya Corona kuingiya inchini mwetu DRCONGO na kuwalinda wanaichi Wetu walioko Inchi Chine ili wasipatwe na Virus hivyo.
@drmialano1 félicite président @pnkurunziza@CnddFdd pour l'acte de la citoyenneté et de la démocratie qu'il a montrée, de suspendre sa candidature et faire élur Mr Gén. Evariste candidat du CNDD FDD aux élections Presidentielles, que Dieu bénisse le burundais.
Mweshimiwa @drmialano1 ampongeza mweshimiwa Rais @pnkurunziza@CnddFdd kwakuonyesha uzalendo katika historiya ya Burundi, kiongozi huyo ni mfano mwema kwa Afrika ya Kati, kuachiliya madaraka kwa njiya ya kidemokrasia, Mungu awabariki warundi wote na wawe na uchaguzi mwema.
Mweshimiwa @drmialano1 ampongeza mweshimiwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza @CnddFdd kwa kitendo cha uzalendo na cha kidemokrasia kuachiliya mamlaka na kuchaguwa mweshimiwa Général. Evariste kugombea kwa Ticket ya Urais mwaka.
Une question, est -ce que l'armée congolaise n'a aucun service de renseignement militaire ? Nous avons uniquement L'ANR ? Pourquoi la @Presidence_RDC@fatshi13 est incapable de trouver la solution sur les problèmes de Béni ?
Mweshimiwa @drmialano1 asema ni mshangao mkuu kuona serekali inaongozwa na mzalendo @fatshi13@Presidence_RDC inashindwa kuajibika kwa janga linalo kumba Inchi hususani raiya wa tarafa la Beni na kuvu nzima, je ni nani atakaye tetea mwanaichi ???
Mweshimiwa @drmialano1 asema ya kwamba Kama serekali ya @fatshi13@Presidence_RDC itashindwa kuwajibika kwakuleta Amani Béni na mashariki mwa DRC Kama isemavyo Katiba article 182 et 187 yaani wajihuzulu, Hakuna kazi watakuwa wamefanya kwa faida ya mwanaichi.
Mweshimiwa @drmialano1 anazidi kulaani visa vya mahuwaji vinavyo fanyika tarafani Beni inchini DRCongo, Mweshimiwa amelahumu serekali ya @fatshi13@Presidence_RDC kushindwa na majukumu ya kulinda wanaichi Kama isemavyo Katiba ya Inchi Article 181 hapo Beni.