Kipindi cha World Cup watu hawataki utani !!
Mwamba kaja kubeba zake TCL inch 98 mbili
tena Qled Mini Led
Kalipia 16m cash🔥🔥🔥
Hande yake kagoma isiwekwe wazi 😂😂😂
Samsung S24 Ultra
256GB|Ram 12GB
Silver Color
Tsh 1,550,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Free Charge, Cover & Protector 📖
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST 🌺🌷💕
Hatimaye wanaanga wa Artemis II wamerudi salama duniani. Chombo chao kiliingia anga la dunia kwa speed ambayo ni mara 32 zaidi ya speed ya sauti. Msuguano wa hewa ukakifanya kiwe na joto la zaidi ya 2000°C kwa nje. Pia kuna wakati walipoteza mawasiliano. Wametua bahari ya Pacific
Jana nilipata wasaa wakukaa na MZEE wangu mmoja, akanipa shule ya maisha especially ya ndoa na namna ambavyo ni UTUME
Key take aways:
1. Tupo kwa ajili ya WAKE zetu na sio kwa ajili yetu
2. Law and order ya familia ni Mungu, Mke/Mume, Watoto then Kazi
3. Uhuru wako ni uhuru wake
4. Mavituzi si kwa ajili ya mume bali ya mke wako… ufanye sababu yake na si sababu yako
5. Watoto ni wajibu na ni lazima uwe na wajibu kwa watoto hao
Akakazia yafuatayo
1. Vijana wa sasa tumeflip law and order ya familia sasa ni Kazi, watoto, Mke/Mume then Mungu
2. Uhuru wetu sio wao na hivyo ni kasheshe
3. Lazima iwe furaha ya mke wako kabla ya yakwako, yani Happy wife happy life.
4. Tupange uzazi na hatuzai sababu yetu au tamaa zetu bali kwa matwaka na mapenzi yake Mungu
Hii ilikua ni post discussion ya Kikao cha wanaume na namna ambavyo mafundisho ya siku hizi yapo.
We move regardless. By the way nilmchapa rate 10/10 He is deep.
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo
1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki "
2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ?
Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
Basically most of these betting influencer huwa wanawork na kampuni za betting ila huwa hawadisclose kama ni paid ad ama la.
Matreni ya kumla mhindi kiuhalisia ni matreni ya kubeba hela zako.