@MigunaMiguna Nimejaribu kumelewa huyu bwana, sababu fish port sisikii mahali, nikama anazungumzia shipping line, kama vile Mersk, PIL, Evergreen, ONE etc...
@ivymuthe When kenya was Kenya, yulivaa hizi lakini quality Camera mtumba. Shida ilikuwa huwezi vaa hii njumu then upiitie tu kwa chuom yoyote..mafans watakubeba juu juu.
@kenyasgossips Hio ndio strategy ya watu wa counterfeit, they hit a big blow first and let the rest scatter. Wewe ukione kunanyesha utakaa hapo unyeshewe?
Then you have to register in the organisation for them to give you this kind of support. So tujihadhari na big brand names.
@RealKaruga Buana this Prezo was something else, kunasiku niliingia V.I.P lift by mistake hapo harambee hse. Then 2nd flr akaingia na camp de aide wake , like they were in a hurry hawakuni notice. Ile coat yake ikawa inanigusa, mpka wakatoka kwa lift. Bro, I felt that ka sensation for a wk.
@jmuragengunjiri We should stop pressuring this youth that passing an exam is everything. Shule nilisoma about rocks na sijawi apply hiyo knowledge anywhere in my life.
@georgediano Unaweza kuwa unakula hiyo ya kisiagi na eti unavuka barabara kuenda kununua sukuma, ukagongelewa na gari ukufilie mbali. Takataka ya Mungu..
@dcijuja Ball iki bounce mbele ya white line towards the net na irudi kwa pitch ni goal. Unless ni fixed matches kama zile za arsenal ref anaweza kataa, juu msema kweli ni sport pesa.....
@nayore@edgarobare Yes, let's not look for scapegoats and address the issue severely. These students should be jailed together with their parents due to the wrong upbringing.
@jaokojohnmark This very sad. For Kenyans these credit companies are making us to adapt more poverty in our lives. When I borrow 1k from you and you expect me to pay with extra 200bob so where does the extra come from if I'm employed? More less if in business it could be my interest. ๐ค๐ค