Grow your intellectual capacity is very crucial in any carrier. It facilitates processing informations and It enhances imaginative power and increase your world view.
Wanavyokutazama watu ndivyo wanavyokujia. Wakiona unafaa utani utani, maongezi ya hovyo hovyo ndivyo watakuja. Normalizing bad things is permitting disrespect na mtu kukuchukulia hovyo. In their imaginations you, you're a place to throw anything.
Mabinti endelea kusema sitaki mwanaume, sitaki kuolewa utaelewa siku ovulations zikianza kupunguza nguvu, sex drives zinaanza kukata. Siku menopause imepiga hodi. Utaelewa umuhimu wa companions, togetherness. Utagundua mwanadamu hakuumbwa akae peke yake. You will understand the value of fellowship and companionship. Mungu aliacha age ambayo kila mtu atapima ujinga wake na kujua wapi alikosea in life.
Ukiona mtu anaaza kufikiria kuhusu uzima wake, amani yake ulinzi wake ujue amekua. Akili za kiutu uzima zimeingia. At some point a person matures. Non-material things become more important than material things.
1. Heshima
2. Uvumilivu
3. Uaminifu/Loyalty
4. Kukusikiliza Na Kukuelewa.
5. Kukupa Nafasi ya Kuwa Wewe/Huru Bila Kuingilia Upendo Wenu.
6. Ukweli
7. Kuwa Na Wewe Mara Zote/Nyingi Unapomuhitaji
8. Positive Attention.
9. Consistency
Day 18 Mantra.
Ninafanya nafasi ya furaha kuingia ndani yangu.
Ninaruhusu pesa, upendo, na nafasi nzuri kuja kwangu kwa wakati wake.
Sina hofu, sina shinikizo, ninaamini nguvu yangu ya kuvutia kila kitu chanya.
Huyu mwizi amefanikiwa kuiba laptop PCs 41 zenye thamani ya zaidi ya 25 Million zikiwa modell tofauti tofauti💔
Tar 14/06/2026 Saa kumi Alfajiri katika Duka jipya lililopo KIMARA - STOP OVER🙌
Tunaomba ushirikiano wenu kwa mdau yoyote atakayeweza kutambua sura ya huyu mwizi🙏
Nilizaliwa sehemu ya baridi baada ya kutoka na kuishi Dar na Pwani sijawahi kuzoea baridi tena. Kuna namna mwili ulikuja kuwa basi mie na baridi tumekua maadui. So nikienda kijijini chapu narudi mjini kama nina ishu mjini ya haraka kumbe nakimbia baridi.
Be BORING. Build boring business. Do boring workouts. Read boring books. Do boring courses. Eat boring foods. As a man who wants to go far in life, learn to be bored, silent, and alone.
Nawapa Stori nyingine Biblia ya Nabii Yusufu kukataliwa na ndugu zake mpaka kufika ikulu, Mwanzo 37-45
Yusufu alikuwa kijana aliyependwa sana na baba yake, lakini ndugu zake wakamwonea wivu sana. Wakampiga, wakamtupa kwenye shimo, kisha wakamuuza kama mtumwa huko Misri.
Alipofika Misri maisha hayakuwa mepesi aliingia utumwani, akisingiziwa kosa ambalo hakuwahi kufanya akiishia Gerezani😔
Katika macho ya kawaida ilionekana Kama kila kitu kimeharibika lakini hata akiwa Gerezani Mungu alikuwa anafanya kazi kimya kimya
Akiwa Gerezani kwa Muda, Yusufu alipewa nafasi ya kutafsiri ndoto za Farao, ndoto ambazo zilifafanua mpango wa miaka njaa na miaka ya Neema.
Farao alivutiwa sana na Hekima ya Yusufu akamtoa Gerezani na kumuweka kiongozi wa nchi.
Yule Kijana aliyekua shimoni, aliyeuzwa utumwani na ndugu zake anakuwa waziri Mkuu Misri 😂
Stori inanishangaza sana jamaa bado ndugu zake wanarudi kumuomba msamaha na anawasamehe 😂😂wewe hapo ungesamehe au ungewaambia kaeni kule.
Anyway nisikie Amen huko nyuma.
Today, @SenatorShaheen advanced multiple pieces of bipartisan legislation at the SFRC business meeting.
Read more about the bills here ➡️https://t.co/jbBhrG3PMi
Kadri unavyokuwa kiroho ndivyo utajua Mungu ni mgumu. Kila kiwango Mungu hu-deal na mtu tofauti. Kuna kiwango Mungu won't respond to tears, emotions but engagement, principles and strong arguments. At this level he doesn't babysit Christians. He will deal with you accordingly.