Edwin Sifuna: Tutatembea na wale wa upinzani wengine ili tutoe kikosi moja kali sana. Sisi wana Linda Mwananchi tunajua tukienda pekee yetu tunaweza kushinda Kasongo lakini tutamshinda saa nane. Kina Riggy G wanaeza enda pekee yao washinde Kasongo lakini watamshinda saa nane. Vile naskiza Wakenya munataka tumalize hii kazi saa ngapi?
Crowd: Asubuhi!
Sifuna: Kabla aoge? Kabla aletewe gazeti?