@saed_ameer88@bonifacejoseph_ Wewe unamzungumzia Kaka majeruhi wa Madrid, lakini prime Kaka ni yule wwa Milan siyo Inieasta wala Ozil anafikia ule ubora
@bonifacejoseph_ Kwa hiyo kwa maoni yako Inieasta is better than Kaka? Kaka hata bila Ballon D'or iniesta hatii mguu pale kuna sababu why alishinda uchezaji bora 2007 mbele ya CR7 and Messi