@privaldinho Mpira hauhitaji HAMASA ZA ZIMA MOTO mpira ni process,uwelezaji unahitajika siyo uchawa wa kugawana mafungu na akina Mwijaku! Upambe na njaa zinapoteza Taifa hasa vijana sisi
@mosam_chande@George_Ambangil Nilikwambia Arsenal kwenye mbio za ubingwa haitatoboa kwa wachezaji kama Nketiah na Kai😂😂😂 Unatoa Xhaka unaingiza Kai afu bench una Elneny,Cedrick na Tisa ni 14 mgongoni anajilinganisha na TH