@mAn_CoDe17 @NjiwaFLow Habari samahani kwa kujibu swali la brother @NjiwaFLow
Hapo kabla ya yote nenda kwenye akaunti yako ufanye ""Forgot password"" ya email yako halafu I note pembeni , ndipo sasa uanze hii process tuliyoelekezwa
Bro kama unafanya kazi na unapokea Take home kuanzia 500k hadi 1M, nipe muda wako nikupe wazo la kibiashara linaloweza kukuinua kiuchumi kwa muda mfupi.
Usitazame kiasi kidogo cha mtaji nilichokutajia ukaanza kubeza, wewe nipe muda wako kwa kusoma hapa hutatoka bure.
@MS_Hafiiz@zoomafrika1 How about child, It seems like you care about girl only she's grown enough to handle painsπ, not child. I am very angry about this man he thrown a child like something .