Hekima ya Mama Paka, ni kuficha watoto mpaka wafikie level ya kujihami wao wenyewe.
Ewe Mama Endelea kuexpose wanao kama bidhaa hapo, Dume paka atajua namna ya kuwaattack
Majibu ya ukosefu wa ajira yapo kwenye Family Projects.
Matajiri wengi wanatokea kwenye family Projects... hasa zile zinahusiana na Kilimo na Pembejeo.