Ninataka kuingia, mjini mwa Mungu
Nitashinda nitakaza mwendo nifike.
Nikishikwa na shida, nikichoka njiani.
Yesu unaniambia uningojee.
Tumwabudu Mungu wetu (TMW 154)
“IN NOMINATING PRESIDENTIAL candidates, the day you stop listening to the voice of the people is the day you will start crying…” Tanzania Founding Father late Julius Nyerere warning to the ruling Chama Cha Mapinduzi CCM.
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.
GIPA FOODS imekuwa miongoni mwa wadau muhimu walioshiriki Wiki ya Ubunifu Tanzania 2025, tukio lililoandaliwa kwa mafanikio makubwa kwa ushirikiano wa UNDP kupitia Programu ya FUNGUO, Vodacom Tanzania, na COSTECH, likiwa na lengo la kuimarisha ekosistemi ya ubunifu na kuchochea mabadiliko ya kidijitali kwa maendeleo endelevu ya taifa letu.
Kupitia uwakilishi wa Mkurugenzi wetu, Ndugu Gideon Kalimanzira, tulishiriki katika majadiliano ya kimkakati na Mawaziri kuhusu Ubunifu na Ujasiriamali, yaliyoangazia namna ya kujenga Tanzania yenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za baadaye — "Future-Ready Tanzania".
Mdahalo umemhusisha Waziri wa Nchi Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda.
Tunashukuru kwa nafasi hii adhimu ya kuwa moja ya wawakilishi katika sekta ya usindikaji wa kilimo na mchango wa gipa foods katika kusaidia maendeleo ya viwanda vya chakula, ajira, na ukuaji wa uchumi kupitia ubunifu.
Tumia Unga wa muhogo wa Gipa Foods – kwa ugali laini, mtamu na wenye harufu nzuri! Tumia peke yake au uchanganye na dona upate ladha bora zaidi ya asili. Jaribu leo, utafurahia tofauti😋.
Karibu sana tukuhudumie mteja wetu wa thamani 🤝
"We cannot build a just society if we discard the weakest - whether the child in the womb, or the elderly in their frailty, for they are both gifts from God."
- Pope Leo XIV
Je, unahitaji kupika Ugali laini, mtamu na rahisi kumeng’enywa?
Chagua unga wa muhogo kutoka Gipa Foods – Unga bora kwa afya bila gluten.
Agiza sasaa, Tupigie au tuma ujumbe 0758087313 au 0676552463, au 0678552460
#GipaFoods#UngaWaMuhogo#UgaliMtamu#LisheBora#madeintanzania #mapishi