@privaldinho Sio sifa kukataaa ofa publicly. I believe bado mnaweza kukataa na ni haki yenu bila kutangaza na mjue mnamuathiri mzize kisaikolijia mngemuacha aendelee kufocus na National team.
@Hansrafael19 Mabaunsa walizuia mazoezi, Kuna Team ilileta team licha ya kwamba mechi iliairishwa na walipeleka bus Lao kwenye uwanja wa mazoezi wa team pinzani