I wish that you accomplish everything you dream for in life. On this special day,remember that time is precious,so learn to value time and be thankful for all the good thing in life. Happy birthday Dangote 💥🥃🍕
Your memory is guiding light in my life,and your love continues to be my strength. You may be gone,but your spirit lives on in the heart of those who loved you.#HappyHeavenlyBirthday Bro.
Kama wewe ulikataa tamaa kabisa ya kupiga kura uchaguzi wa 2020 baada ya kuona MaCCM na dola yakiumiza upinzani, na sasa baada ya kumuona @TunduALissu na kumsikiliza na kumuelewa umeamua kwenda kupiga kura kwa "Mbeba Maono" 28/10/2020 hebu tufahamiane, RETWEET hii Tweet.
Mamaangu mdogo;
Bi, Hidaya Binti Khamisi. Amejifunguwa Salama Watoto Mapacha bila Tatizo au Msaada wa Kisayansi. Katika Umri wake Mpevu. Miaka 75: Tokea Azaliwe. Hajawahi kupata Mtoto wala kuharibu Mimba. Maisha yote akiwa ni Mcha Mungu hakuwahi kujisikitikia. Tumpongezeni Please
Leo alfajiri nilipata minor stroke (angina pectoris) maumivu yalikua makali sana hatimaye madaktari wakaweza kuni stabilize, namshukuru Allah imenifanya niwaze mengi hata uwe mdogo aje mauti yako karibu. Nawashkuru baadhi yenu kwa ushirikiano na upendo mlioonyesha.