@Sirjeff_D Kulingana na muundo wa kemikali ulioutoa, compound inayoitwa ni '2,3-Dimethylhexane'. Jina hili linatokana na urahisi wa kuchunguza nambari ya atomi kaboni na nambari ya methyl (CH3) groups kwenye mnyororo wa matawi.
Ukweli mchungu ambao hukufundishwa shule na hutokuja kufundishwa.
Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea. Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia.
In a Nutshellπ§΅