Kwenye phychology kuna kitu kinaitwa "Halo effect" ni Ile Hali mtu mwenye sura nzuri au Mrembo anapewa favour kuliko mtu mwenye sura mbaya. Hii inatokea Sana Kwa wezi. Ndo kama hapo kwenye hio video hao wadada ni wezi lkn wanawapapasa hvo, Lkn laiti ingekua ni mwanaume kaiba hapo mngeona video wakiwa maiti. Hio sasa ndo Halo effect. Sisi watu Wenye sura personal ukidakwa umeiba kwanza hua wanataka panga zote ziishie usoni, kabla hata hawajajua umeiba nn kuna jamaa hua anajitolea kununua petrol lita tano😂😂😂,, tutafute Hela mazee🙌
Leo asubuhi wakati naenda kazin Nikiwa kwenye boda, bodaboda alienipakia akamuona mke wake akiwa kwenye boda nyingine, akahisi labda atakuwa anaenda lodge kumchiti, tukaanza kuwafuatilia mdogo mdogo. Mwisho akashuka kwenye msiba ambao hatukua tunaujua kabisa. ½...