Hii idea ni kufungua logistics Company ifanye kazi mwaka na nusu upate experience ya changamoto zake ili ukipeleka business proposal kwenye bank yoyote waone umefika wapi ila kutafuta Investor utachelewa
Usafirishaji wa Parcel bongo unahitaji upate jamaa mmoja mwenye mtaji mzito aliye serious awekeze mikoa karibu yote!!
kuna mabilioni kwenye hiyo biashara
My country is now full of Chinese investors... I personally know more than 30 Chinese friends, and all of them own factories in Tanzania, One thing I've noticed is that they like to work with people who have a specific skill.