@PKishamba Zile ela wanazo ahidiwa wakiwa wanacheza na simba au yanga mbona huku hazikuja ...20M kama mkifanikiwa kuwafunga simba wanatamkaba mpaka akina Okwi wakati hayupo ๐ ๐
@privaldinho Mara ya mwisho kutinga group stageCAFCCL ni miezi 4 iliyopita...mara ya mwisho kutinga group stage kwa Yanga ni ..hili swali wakipewa darasa la saba watakosa
@moodewji@SimbaSCTanzania Shida sio mpira kutoka shida sio mbavu za pembeni zimechoka...shida timu nzima iko ovyo hakuna muunganiko,hakuna fighting spirit..hii sio match ya kwanza . Ata simba akishinda mpira huuoni ule wa zamani wekeni kipengele kwenye mkataba asiyejituma kavunja mkataba dirisha dogo๐โโ๏ธ
@Eric__Bernard@moodewji@Roberinho Shida tajiri yetu kuna mahali anafeli juzi juzi kanyimwa tiket ya VIP kalalamika mno mara aseme amekaribia kuchoka. Siku akiburugwa anakuja na hesabu sasa hapo kuna kikosi cha 3B hapo?? Akichoka asepe aoene kama timu itakaa mwezi bila kupata watu,mpira wa sasa sio kama miaka ile
@Eric__Bernard Waliuzingua kwa no.
1: @moodewji tajiri no.1 EA kwanini asivunje mkataba wa Diarra au kipa mkubwa kazi kulalamika...
2:@Roberinho aliomba kikosi ila anashindwa kukitumia team haina fighting spirit kabisa
3:@Huyokipa Ikiwezekana apewe kesi ya kuhujumu uchumi.
@SimbaSCTanzania Sio wote wengine tunasema hivi
Fitness coach hovyo timu haiko fit..coach hovyo mpaka sasa timu haina muunganiko...Usajili ovyo kipa gani yule..iko 20B?? Ziko wapi ela mlizosema ndio bajet ya timu sijui kama kule kwa mashujaa tu tunatoboa