Fungua Stationary karibu na Chuo,
Fungua Carwash karibu na Barbershop,
Fungua mgahawa karibu na Soko,
Fungua Duka la nguo karibu na stand,
Fungua mdomo ukiwa na uhakika wa unachotaka kuongea.
BRO TO BRO
Haijalishi unapitia wakati gani katika maisha Usikate tamaa bro
Ili mradi bado unaishi. Basi mapambano lazima yaendelee
Bado una muda.
Bado una pumzi
Bado una nafasi ya kubadilisha mambo.
Mwanaume wa kweli hakimbii changamoto anajifunza kuhimili na kuzoea mikikimikiki.
Anaweza kuanguka, anaweza kuumia, lakini anainuka tena akiwa imara na mwenye nguvu zaidi.
Siku zote Hadithi ya mwanaume haimaliziki pale maisha yanapokuwa magumu mara nyingi hapo ndipo safari yake halisi inapokuwa inaanza.
Inuka tena, Jipange upya na Endelea kupambana. 💪
UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAISHA YA MWANAUME AMBAO WENGI HATUPENDI KUUSIKIA, LAKINI UKIUKUBALI MAPEMA UNAJIJENGA KUWA MWANAUME IMARA ZAIDI.
1. Hakuna anayekuja kukuokoa.
Kama mwanaume, maisha yako ni jukumu lako mwenyewe. Watu wanaweza kukushauri au kukusaidia kidogo, lakini hakuna atakayebeba mzigo wako kwa muda mrefu.
2. Thamani yako inapimwa kwa kile unachoweza kutoa.
Jamii mara nyingi huwa inamheshimu mwanaume kwa uwezo wake wa kuwajibika, kulinda, na kutoa.
3. Watu wachache wanajali matatizo yako.
Ukilalamika sana, wengi hawatasikiliza. Wengine watakuheshimu zaidi wakiona unatatua matatizo yako kuliko kuyasimulia.
4. Hakuna anayedaiwa kukupa maisha mazuri.
Serikali, familia, au marafiki hawana wajibu wa kuhakikisha unafanikiwa. Unapaswa kujipigania mwenyewe.
5. Makosa yako yatakufundisha zaidi kuliko maneno ya watu.
Maisha ya mwanaume yanajengwa kupitia kushindwa, kuanguka, na kujaribu tena.
6. Nidhamu ni muhimu kuliko motisha.
Motisha huja na kuondoka, lakini nidhamu ndiyo itakayokufikisha mbali zaidi
7. Heshima haiji kwa kuomba, inajengwa.
Unapata heshima kupitia matendo yako, tabia zako, na jinsi unavyosimama kwenye maisha.
8. Wakati unapotea haraka.
Ujana unapita haraka kuliko unavyofikiria. Kama hutaanza kujenga maisha yako mapema, unaweza kujuta baadae.
9. Maisha hayako fair kila wakati.
Wengine watapata vitu kwa urahisi kuliko wewe, lakini kulalamika hakubadilishi kitu.
10. Ukijisimamia, dunia itaanza kukuheshimu.
Mwanaume anayewajibika kwa maisha yake, anayeweka nidhamu na anayeendelea kupambana huwa na nafasi kubwa ya kufanikiwa.
11. Ukiweza kudhibiti hisia zako za kingono unakuwa umetatua nusu ya matatizo yako
Mwanamke usifute namba yake wala usim'block. ILA USIMTAFUTE.
Mfanye ajue kuwa unauwezo wa kumfikia lakini umechagua kutofanya hivyo..
Wanachanganyikiwa sana wakigundua wanapuuzwa kuliko ukiamua kushindana nao..
Usidanganyike na wingi wa maombi,sala na kufunga.
Kipimo cha kweli cha imani si maneno yako mbele za Mungu, bali matendo yako kwa watu. Unawezaje kumpenda Mungu usiyemuona, huku ukimchukia ndugu na jamii yako? Upendo wa kweli huonekana katika huruma, heshima na matendo mema, hapo ndipo roho yako inajidhihirisha mbele za Mungu. Kufunga na kusali kusiko tafuta upendo,haki, wema,uadilifu na huruma ni mgomo wa kula.
🇸🇳 SADIO MANÉ SPEAKS
“Sunday’s final will be my last match in an African Cup. Let’s hope we win it and bring the trophy back to Dakar once again.” 🏆
A true legend ready to write the final chapter of his AFCON journey. Will Senegal lift it again?
#AFCON2025#Senegal #AfricanFootball #AFCONwithMicky
Huyu Mwamba huenda hata yeye hakujua impact ambayo itatokea katika upekee aliyokuwa anautumia wa kuganda kama Sanamu, a true hero katisha sana sasa hivi anatazamwa kama Shujaa Duniani.🫡
Alichofanya jana MWAKINYO hii ndio tafsiri kubwa ya "CHAMPEZ".
KATIKA NYAKATI HIZI ZA GIZA mwamba kaweza kuonyesha mapenzi yake ya wazi kwa Tundu Lissu ambae anasubiri KUNYONGWA na wakoloni weusi.
Kafanya kwa mapenzi yake kwa CHADEMA kwa kuvaa Bukta ya rangi za CHAMA hii ni zaidi ya upendo kwa chama na kwa wapenda haki.
Katoa POLE YA KWELI kwa watu wote waliopoteza wapendwa wao kwenye maandamano ya OKTOBA 29 hii ni mapenzi kwa watanzania wote hata wasio na vyama.
Jumbe hizi 3 na umuhimu wa siku yenyewe ni ujumbe mkubwa sana kwenye Safari ya kupigania HAKI. Naamini huko walipo WAKOLONI WEUSI WANASONYA TUU.
Walijua Mwakinyo ni CHAWA WAO watamtumia kama CONDOM ZAO "ZA NGUMI YA MAMA".
Asante CHAMPEZI umeongeza Mashabiki wengi zaidi jana na milele. Tunafurahi kuongeza mtu mashuhuri kama wewe kwenye list ya WAPIGANIA HAKI. TUTASHINDA HII VITA MZEE SISI NI WENGI SANA KULIKO WAO.
TUTAKUWEPO🫵😎