@patooworldwide@BracuszCadabra Niwazi hatuna watu wa Mpira pale sasahivi huyu hata sio wakubaki pale kaisha umaliza mwendo muda tu. Vijana wameshindwa kucheza pale wakasepa now wanakiwasha fresh tu
@ChaBlo_26@Adventure_36 We were lucky hai justify kwamba tuna timu nzuri hata hiyo final uliona timu inavyo struggle.misimu mitatu bila kombe hata la mbuzi, vipigo vinne mfululizo vya derby Kwa ukubwa wa timu inafikirisha. Ok we reached final then what ?? Wachezaji mlenda mlenda vile aisee π Aibu