JONAS ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
HESHIMU kla mtu,maisha n mzngko,
wht goes around comes around
Nimktana na mkaka moja tulwah soma shule mja 4m6 like 2yrs ago, alikuw mkorofi San na mbabe hta kwa walmu. I had a boyfrnd wakishule shule mple San na walkuwa ni marafiki, cjui walkuw wanweza vip Kumatch,
THREADππΌ
ndo alokuteta hapa ulipokuwa hujitambui,
nilivomsimulia sister alikasirika San Ila nikamwambia sister kwa upole "Mtu akikudharau ww mtendee Wema ili ajifunze,"
SASA hivi navoongea kuna namba imenipigia zaid ya mara 10 nahis ni yey cuz kuna text ya kunishukuru inasema..........