@MwitaJulius2000 Ww mwita mgomvi sana ulionaje hapo mm nilikuwa namshangaa pinda yaan hata mwenyewe hamuelewi anapiga makofi kwa kujivuta huku haimbii huyu mnafki asfikiri CCM ni kwepesi kupata nafasi CDM imekufundisha demokrasia na uchaguzi za ushindani haya rudisha kadi ya chama haraka
@swahilitimes Mifumo mibovu ya uchaguzi katika kupata watu wanaosimamia kodi zetu serikalini haina athari kama yaliyopo huko kwenye vyama hapa tunazungumzia mustakabali wa nchi
@MwitaJulius2000 Sijamuelewa bado yeye anatakaje sema huko kafuata kazi tu binafsi kwa misimamo kuwa na uchungu kutafuta demokrasia na siasa za tija zitabaki kwa WAZANZIBAR tu watu kama kina jussa ni watu makini sana ila sisi WATANGANYIKA kazi tunayo mbona