Madaktari wetu wapo vitani kwasasa! Je upo tayari kukatwa robo ya mshahara wako kwa ajili ya kuwapa motisha wahudumu wa afya katika kipindi hiki cha mkipuko wa ugonjwa huu wa Covid19.
#LeoTenaCloudsFm
Vyombo vya habari ya Hong Kong na Marekani vinaripoti kuwa, inawezekana kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amefariki dunia, baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo; huku vyombo vya habari vya Japan vikisema kiongozi huyo yu mahututi. ๐ท KCNA via KNS/AFP via Getty Images
@MabalaMakengeza @ejbunuma2 Ktk kufundisha kuna dhana mbili ambazo ni rewards na punishment .
Sema walim wanapendelea kutumia vboko ili kurahisisha .kwan extra curriculum activities kama kufyeka,kufyatua tofal na kaz nyingne nyng za nje ambazo sasa znaweza kumchelewesha mwanafunz