Familia moja huko Nanyuki Kaunti ya Laikipia, inalilia haki baada ya jamaa wao kugongwa na gari na kufariki na mtu anayesemekana kuwa mwana wa mmoja wa wakuu wa maafisa wa upelelezi katika kaunti hiyo. #NTVJioni
Siku ya Valentine ni sherehe inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ambapo watu kote duniani huweza kuwaonyesha wapendwa wao mapenzi kwa njia mbalimbali. #NTVJioni
Super excited about #10over10 just like the other week we have a suprise artist. Hint: They haven’t been on the show for awhile can you guess? @citizentvkenya